Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo vp waungwana, naomba kuuliza hivi hii habari ya viccoba saccoss ina ukweli kiasi gani, kupata mkopo ndani ya dakika 55, tujuzane wenye kujua..
Nnavojua mimi vikoba ni kikundi cha watu waliojiunga pamoja, wanaotoa hisa kila wiki then baada ya mda flani wanafundishwa ujasiria mali na wanakopeshana kulingana na hisa ambazo unazitoa mimi vimenisaidia sana ivi vikoba nimeweza kuwekeza hisa zangu na kukopa kwa riba nafuu ya 10%.
ndugu yangu Tabby riba ya 10% inaanzia miezi 6 hadi 12.. vikoba ni mkombozi kwa wasomi ambao hawajapata ajira. mie ni shuhuda wa hili jambo nilikuwa kapuku kila siku nalalamika gemu gumu lakini haa nashukuru sasa namiliki biashara..10% kwa muda gani?
ndugu yangu Tabby riba ya 10% inaanzia miezi 6 hadi 12.. vikoba ni mkombozi kwa wasomi ambao hawajapata ajira. mie ni shuhuda wa hili jambo nilikuwa kapuku kila siku nalalamika gemu gumu lakini haa nashukuru sasa namiliki biashara..
Vocoba vinasaidia sana kwa mikopo midogo