Vicoba

regina ngongolo

New Member
Joined
Mar 16, 2017
Posts
4
Reaction score
3
Hodi hodi mi mwanaharakati Wa Maendeleo kwa wale wanaopensa masuala ya kuwa kwenye vikundi vya kukopeshana maarufu kama vicoba nitafurahi kuwa mwalimu wao na nitawasimamia mpaka wawe sawa gharama zangu nafuu sana wanaoniitaji wanitafute whatsapp kwa namba 0753226722 kama wewe kweli unahitaji kuamzisha Kikundi cha nitafute Kikundi kinakuwa na watu 15 had I 30 wanaolewana. ViZuri tabia na waaminifu na wapendaendeleo
 
Sasa mwalimu, kwann usianzishe kikundi chako tu ili uwe unapata mgao
 
Nipo kwenye vicoba tayari na tuna mwalimu wetu mi nataka wanaohitaji mwalimu INA maana wana Nia ya vicoba lakini hawajui waanzeje ndio hao nawalenga
 
nyie walimu mnawaibia watu tu. unashindwa vipi kuwaelekeza kikundi namna ya kujiendesha na viongozi wao kusimamia shughuli zao. nini hicho unachowafundisha mwaka mzima watu wazima wanachangishana wenyewe hatimaye wanapogawana unachuchukua mgao wako sehemu usipopanda.# maendeleo gani hayo!?
 
Watu wengi wanafikiri hivo kwamba walimu wanaiba lakini sio kweli hiyo posho wanayopewa na wana Kikundi ya sh efu 15 kila wanapotembelea Kikundi ni haki yao na wala hawafundishwi mwaka mzima inategemea na ushapu wao Wa kuelewa wengine wazito hasa kwenye mahesabu walimu wanasaidia sana kuliko unavyoelewa mi nimeshuhudia vikundi ambavyo having walimj vingi wanadhulumiana walioko kwenye vikoba mniambie
 
kama wewe ni mwalimu kuna haja gani ya kikundi chako kuwa na mwalimu kutoka nje kuwafanyia hayo unayoita mahesabu kama sio kuja kuwanyonya!?
 
Acha mbwembwe.
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…