Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela walizoiba Familiya yake bado anautaka udiwani.
Kisawasawa kwa akina Gunda!
Sio vizuri kuihusisha familia ya Mama Makinda na wizi. Ni miongoni mwa familia ambazo zimemtoa kiongozi mkubwa ambaye amejawa sifa za uchaji wa roho, unyenyekevu na uadilifu uliotukuka.Hela walizoiba Familiya yake bado anautaka udiwani.
Hatuwezi kujua kuwa analo jipya au hana. Huenda amejipanga vyema kuleta mvua ya maendeleo katani.Hana jipya
Yote sawa...! Hatuwezi jua amejipangaje. Na sidhani kama ni gharama kubwa kiasi hicho.Kutia nia kunahitaji kuchapisha hayo madude yote? Hizi pesa za kuchezea wanatoa wapi? au hawatumii akili?