Uchaguzi 2020 Victor Makinda atangaza nia Udiwani Kata ya Kisawasawa, Kilombero, Morogoro

Kumekucha
Nione Sasa Mtu Anampiga Aliyevaa Kijani Ataona Cha Mtema Kuni
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Hela walizoiba Familiya yake bado anautaka udiwani.
Sio vizuri kuihusisha familia ya Mama Makinda na wizi. Ni miongoni mwa familia ambazo zimemtoa kiongozi mkubwa ambaye amejawa sifa za uchaji wa roho, unyenyekevu na uadilifu uliotukuka.
 
Ni mtoto wa Mama Ana Makinda?
 
Kutia nia kunahitaji kuchapisha hayo madude yote? Hizi pesa za kuchezea wanatoa wapi? au hawatumii akili?
 
Kutia nia kunahitaji kuchapisha hayo madude yote? Hizi pesa za kuchezea wanatoa wapi? au hawatumii akili?
Yote sawa...! Hatuwezi jua amejipangaje. Na sidhani kama ni gharama kubwa kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…