Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Kwani wewe ulizuiwa na nani kugombea? Kwanini usiende kuchukua Fomu ya kugombea? Fomu hujachukua halafu unaanza kupiga Makele yako hapa kama kengele.Huu utaratibu wa kurithisha vyeo ni wa kimaku kwelkwel, huyo mtoto wa Jenista angalau mama yao amewaachia mali hiyo nafasi ingefaa apewe mtu mwingine mwenye uwezo ambaye yuko jobless!.
Hata kwa marehemu celina kombani walifanya ujinga huu huu...Katiba mpya ni muhimu sana wakati huu!.
Kwani wewe ulizuiwa na nani kugombea? Kwanini usiende kuchukua Fomu ya kugombea? Fomu hujachukua halafu unaanza kupiga Makele yako hapa kama kengele.