KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
"Afrika ukifanikiwa basi ndugu na jamaa wanadhani kupewa pesa ni haki yao" Osimhen
🎙Victor Osimhen: "Nilikuwa nikituma pesa rafiki yangu mmoja wa utotoni lakini siku moja aliniambia kuhusu biashara anayotaka kuanzisha na anahitaji msaada wa kifedha. Nilimtumia €5k lakini hakuithamini na hata aliniambia kuwa alisoma kwenye habari kwamba nilikuwa napata euro milioni 1 kila wiki na alitarajia kama € 50k kuanzisha biashara, nilikasirika sana kiasi kwamba nilitaka kurudisha muamala lakini mimi Nisingeweza. Pesa hizo €5k zinaweza kununua viatu vyake Ulaya lakini ni pesa nyingi sana. Hakuna mtu aliyewahi kunitumia hata dola 1 kabla sijaja Ulaya, nilijishughulisha usiku na mchana, niliuza maji ya chupa mitaani.
Euro €5k ni sawa na M 14 za Tz
My take: Pamoja na kuwa kusaidiana na kuinuana ndugu na jamaa lakini msaada sio deni kiasi cha kumchukia anayeshindwa kufanya hivyo kwako.
Wale mnaobahatika kupata chochote kitu kutoka kwa ndugu au jamaa zenu basi muwe na mioyo ya shukrani na mkitumie mlichopata kujiinua.
Haya mambo yapo kwenye familia na koo nyingi za kiafrika.