Victor Wanyama akwenda mahakamani kushtaki !

Victor Wanyama akwenda mahakamani kushtaki !

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
93
Reaction score
238
Kiungo wa kati wa timu ya Kenya Harambee Stars na Tottenham ameishtaki kampuni ya Menengai Oil kwa kutumia picha yake bila ya ridhaa ya mchezaji huyo.

Victor Wanyama sasa anataka fidia !
 
Attachments

  • IMG_20190807_132157.jpg
    IMG_20190807_132157.jpg
    40.5 KB · Views: 30
Kiungo wa kati wa timu ya Kenya Harambee Stars na Tottenham ameishtaki kampuni ya Menengai Oil kwa kutumia picha yake bila ya ridhaa ya mchezaji huyo.

Victor Wanyama sasa anataka fidia !
Ataipata tu asubiri mahakama upelelezi ukamilike
 
Atapoozwa kidogo Na akafute kes
Africa n cc tu
 
Back
Top Bottom