Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,063 Reaction score 12,866 Aug 22, 2019 #1 Namuona superstaa wa Harambee stars akianza mdogo mdogo kufall down kisoka. kwa sasa anajiandaa kutua Ubelgiji kwenye klabu ya Club brugge ambapo atakutana na changamoto nyingine kutoka kwa kiungo moto wa kisenegal Krepin Diatta.
Namuona superstaa wa Harambee stars akianza mdogo mdogo kufall down kisoka. kwa sasa anajiandaa kutua Ubelgiji kwenye klabu ya Club brugge ambapo atakutana na changamoto nyingine kutoka kwa kiungo moto wa kisenegal Krepin Diatta.