Masumbuko r bilali Senior Member Joined Dec 27, 2012 Posts 158 Reaction score 35 Dec 13, 2015 #1 Matusi ni ujinga mpevu ila kama unafuatilia coke studio utakubali namna huyu dada anavyokuwa tegemeo katika kuifanya team yake na kiba ishine. to be continue.
Matusi ni ujinga mpevu ila kama unafuatilia coke studio utakubali namna huyu dada anavyokuwa tegemeo katika kuifanya team yake na kiba ishine. to be continue.
Tua Ngoma JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 3,185 Reaction score 8,294 Dec 13, 2015 #2 Acha zako wewe,Kiba ana kitu chake kinambeba na kilikuwa nguzo ya kundi lao SAUTI
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Dec 13, 2015 #3 All in all ngazi ya Kiba ni Diamond.
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Dec 14, 2015 #4 Masumbuko r bilali said: Matusi ni ujinga mpevu ila kama unafuatilia coke studio utakubali namna huyu dada anavyokuwa tegemeo katika kuifanya team yake na kiba ishine. to be continue. Click to expand... Acha uongo aisee kimani mwenyewe ana maumivu baada ya kukatiliwa na kiba waimbe prokoto Sasa hio ngazi ni ipi nyambafu ww
Masumbuko r bilali said: Matusi ni ujinga mpevu ila kama unafuatilia coke studio utakubali namna huyu dada anavyokuwa tegemeo katika kuifanya team yake na kiba ishine. to be continue. Click to expand... Acha uongo aisee kimani mwenyewe ana maumivu baada ya kukatiliwa na kiba waimbe prokoto Sasa hio ngazi ni ipi nyambafu ww