Victoria Secret's Fashion show ambayo imepata umaarufu mkubwa pamoja na kuwa inaonyeshwa mara moja tu kwa mwaka katika wiki ya kwanza ya mwezi December kwa mara nyingine tena itakuwa hewani leo kuanzia 10.00pm ET katika channel ya CBS. Na mtumbuizaji atakuwa ni Usher Raymond.
Aisee hiyo show ni kali sana sijui kwa nini wasiifanye angalau mara mbili kwa mwaka June na December. Nilipoweka kichwa cha habari hicho nilitegemea ile ya mwaka jana ingekuja lakini haikuja hivyo nikaamua kufungua nyingine.
LOL! π Imagine the World without women, a very boring place πand most of us would prefer to be in a different planet π. Hiyo Avatar yako vipi! he he! π