Vipi tena Kisura... mbona picha yenyewe sipati ndugu... au pole pole unaanza badilisha jina lako to KISUBIRA... he he.. never mind, hizi Victorian Secrets naona unaishi nazo wewe mwenyewe. Hamna noma wala nini..
SteveD.
aahh, 'ever heard the familiar expression, Good things come to those who.....
Sasa, yule ni Bwana, nami ni Kisura! tuliza boli kaka!
Mvumilivu hula........
Ushafika uko weye? Pazuri eeeh? tehe tehe! LOL!
Kwanini ugeuke chumvi bwana, ukiamua kufuata, unafuata tuu...kwani utakuwa unaangalia nini huko nyuma ulichokiacha? he he he tehe!
Loh! Sasa bwa Stevie, hivi wewe huwa una-cross the ocean, valleys, mbingu mpaka ufike huko Bustani ya Eden ukifatilia Atavar tuu? Uki-win lottery je inakwaje?
Ahuh, niki-win lottery hiyo itakuwa thawabu kubwa tu kama hiyo avatar yako inanunulika, basi itabidi kutumia ushindi huo kuinunulia hiyo hata kama sitabakia na kitu.
Mbingu, bahari na nchi inabidi zote ziwe moyoni mwangu kama faraja na liwazo la safari yangu ya kufikirika kutafuta hiyo picha yako, ambayo kwa sasa imebakia katika ulimwengu wangu wa ndoto tu, kwani reality naona inazidi kupiga kwata kwa kasi kunikimbia.
SteveD.
Loh! uta-spend your fortune to get her picture? Is she worth it ??! Kwani, what's the catch?????
Haya basi, (hope utaweza kuifungua). You have stated your case, muone basi Mama Afrika huyu.