VIDEO: Afariki dunia baada ya kugongwa Na lori lililo beba Ciment

kaisar19

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2021
Posts
274
Reaction score
488
Tukio hili limetokea Asubuhi ya leo majira ya saa 3 katika Barabara ya kutoka kongowe kuelekea Twangoma.
Ambambo lori lilifeli Breki likiwa kwenye mwendo kasi.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Dereva wa Bodaboda alifariki mara tu baada ya ajali, Mpaka muda huu abiria alie panda pikipiki hiyo nae ni majeruhi na yupo hospitali kwa sasa, Nayeye pia hali yake ni tete.!!
Dereva wa lori hajulikani wapi alipo hadi sasa.
 
Aj
Ajali ni jambo gumu sana, ila bajaj na boda wengi ni watu wasioheshimu sheria za usalama barabarani kitu ambacho ni hatari kuwa kwa usalama wa matumizi ya barabara.
 
Hiyo Kilwa Road kuanzia hapo Kongowe kwenda Kisemvule ni njia ya Mauti kwa boda boda na waenda kwa miguu. Kila siku sio chini ya watu wawili wanakufa kwa kugongwa na mabasi ya mikoani au malori ya mchanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…