Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Shuhudiaga hizi ajari tukiwa kwenye uzima tujiulize tuna jali nini?Tukio hili limetokea Asubuhi ya leo majira ya saa 3 katika Barabara ya kutoka kongowe kuelekea Twangoma.
Ambambo lori lilifeli Breki likiwa kwenye mwendo kasi.
View attachment 3651240
View attachment 3651235
View attachment 3651247
View attachment 3651247
Dereva wa Bodaboda alifariki mara tu baada ya ajali, Mpaka muda huu abiria alie panda pikipiki hiyo nae ni majeruhi na yupo hospitali kwa sasa, Nayeye pia hali yake ni tete.!!View attachment 3651244
Dereva wa lori hajulikani wapi alipo hadi sasa.
Unaposema hivyo tambua kwamba sio bodaboda wote wanaopata ajali/kugongwa kwa makusudi na madereva wenye magari makubwa wanakuwa wamevunja sheriaAj
Ajali ni jambo gumu sana, ila bajaj na boda wengi ni watu wasioheshimu sheria za usalama barabarani kitu ambacho ni hatari kuwa kwa usalama wa matumizi ya barabara.
Hao mabwana wala huwa hawaendi mbali.Dereva wa Bodaboda alifariki mara tu baada ya ajali, Mpaka muda huu abiria alie panda pikipiki hiyo nae ni majeruhi na yupo hospitali kwa sasa, Nayeye pia hali yake ni tete.!!View attachment 3651244
Dereva wa lori hajulikani wapi alipo hadi sasa.
Ipo namna.Hakuna namna ndo maisha yetu mkuu