Nenda kwenye siasa hizi chadema na ccm au nenda kwenye ushabiki wa simba na Yanga utawaoni watu kama hao hawakosekana kwenye ushabiki wowoteKwahiyo hata wewe ni kama huyo?
Ha ha ha sya findo fiki hisyiπ€£ππππ₯
Imagine ni mwanao na baba yako.
πππππππkerubi wa chai jaba bana
That's very true, hata yeye kama ana ushabiki na mwanamuziki yoyote hana utofauti wa akili na huyo dogo.Mashabiki wote duniani wapo kama huyo jamaa sema ujazungunga sana