Video: Aliyemuelewa January Makamba atusaidie

Video: Aliyemuelewa January Makamba atusaidie

Huyu jamaa ni mweupe sana kichwani pamoja na baba yake kumpa elimu ng'ambo na exposure kikubwa tuu ana bahati ya kupendwa. Alikuwa mbele yangu Galanos na ana kashfa ya kuiba mitihani pale back in the days. Kuna uzi umo humu hatumsingizii.
 
Hiyo hesabu ya vijiji yani ni majanga matupu. Idadi ya vijiji vilivyounganishiwa umeme ni kubwa kuliko idadi ya vijiji vyote mkoani, na bado kuna vijiji vina wakandarasi wa kuviunganishia umeme!
Sijui hesabu za wapi hizo?
 
Huyu jamaa anatengenezaga tu kuongelewa.
 
Habari, naomba msaada kwa aliyemwelewa mheshimiwa waziri makamba hapa atusaidie.

View attachment 2393202

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
1666322132051.png

-Hili ni tatizo.
- Wapi tupate taarifa sahihi?
 
Makamba had a bright future ila tangu atengeneze zengwe ili awahi uwaziri wa nishati amejiondolea kabisa heshima yake.
 
Makamba had a bright future ila tangu atengeneze zengwe ili awahi uwaziri wa nishati amejiondolea kabisa heshima yake.
Uzuri watu sasa wameshajua rangi zake za ukweli. Awamu ya 5 ilisaidia kutambua viongozi na wapenda madaraka.
 
Halafu kuhesabu vijiji badala ya kaya zilizounganishwa ni uzwazwa.
 
Wabongo wengi ni wazuri mno katika kulalamika, kukandia, kudharau, kulaumu wengine, kukosoa na pia kuonyesha mapungufu ya watu wengine, lakini ni wagumu mno kutoa ushauri kuhusu njia mbadala ya nini hasa kipate kifanyika, ili kurekebisha makosa au mapungufu.
 
Mkuu hebu jaribu kumlekebisha wazir hapo

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
He is not creative at all, sema anabebwa na mzee wa msoga kwa malengo maalumu ya upigaji!
 
Back
Top Bottom