Video aliyorusha Miss World kuhusu hali ya umaskini Tanzania; Mama Salma na wenza wa viongozi wa Tanzania bado wanaona ni sahihi kulipwa mabilioni?

Maneno meeeengi hujaweka io video
🤡
 
Tuna viongozi waovyo sana mkubwa
 
Ukikutana na watu wa Arusha wanavyopenda kuji brag, unaweza kuhisi mkoa mzima wa Arusha wanaishi matajiri.
 
Hii ni nchi ya kipumbavu sana kuwahi kutokea hapa ulimwenguni
 
Nchi za wenzetu wanafanya maandalizi, Siyo kwetu unaibuka from nowhere na unataka kuwa miss world
 
video wapi?
 
Mumewe hana akili? Sio alikufanya ulale huku madirisha ukiacha wazi? Kuongoza watz mil 60 kwa miaka 29 hana akili. Wewe unachunga mbuz 2 lkn siku zote kesi kwa familia yako hazishi. Waanakula mboga za watu
Chawa pro max wewe
 
Mh! ishu sio kujustify the wrong doing by using the correct judiciary and/or parliament process. The whole concept was wrong even if it follows the correct parliament process.

Raisi ni mtumishi wa umma, je tuna watumishi wa umma wangapi? mafao ya Rais na marupurupu yake yote ukiondoa magari mawili, walinzi, mafao ya mishahara, mafao ya nyumba na mshahara wake kila mwezi vinatosha kabisa kutunza familia yake na mke kwa maisha yake yote, hapo siongelei mishemishe na ma-project makubwa anayokuwa ameyatengeneza wakati wa uongozi.

Je? hawa watumishi wa umma wengine ambao kwanza mishahara yao ni kidunchu sana, hawana mafao makubwa, hawana benefits za nyumba, magari , walinzi na mishahara etc. mbona wenza wao hawafikiliwi tena waliofanya kwenye mazingira magumu mara 80% ya viongozi wetu hawa.

Kama bunge lingekuwa linataka usawa nafikiri watu wa kupewa kipaumbele walikuwa ni hawa hoehae kajamba nani na si mabilionea wanaostahafu wakiwa na life insurance ya benefits zote maisha yao yote.

Ifike mahali tusijustify udhalimu, dhuluma, ufisadi kwa sababu tu tumefuata taratibu za kibunge au za kimahakama.
 
Listen before you thank me..

Simply Mama Salma ni mjinga, aliyekuwa na wazo la kijinga, akalipeleka kwa wajinga wenzie, wakalipitisha...

Sasa kwanini unamkingia kifua huyo chirf wa ujinga?!
Nimeipenda concept ya viscous cycle ya ujinga
 
Umemaliza 🙏🙏
 
Wamemchangia 120 million kumchukulia fomu

Hiyo ilikuwa ni Kampeni ya Majaliwa ..... kuhakikisha anabaki kwenye Uwaziri Mkuu.

Na uhakima Maza safari hii atakuja na mtu wake ..... Majaliwa anapoteza muda tu.
 
🙏
 
Bara la Afrika lina watu wasio na huruma kwa maskini na bahati mbaya hao maskini bado hawajitambui.wanaendelea kuwachagua watu wenye roho za kishetani
 
Bado Tunalo tatizo kubwa la ubinafsi kwa utafiti mdogo usiyo rasmi na ambao haujafuata taratibu za utafiti binadamu kwa asili ni mbinafsi .. anahaki zaidi waliopo kwenye circle yake kuliko walioko nje . Leo tuna watu wenye kipato cha juu na cha kati all they care about is their bellies and their sons and daughters and their few close allies . Elimu ilikuja itusaidie kuwa na kiasi na kutengeza oportunies kwa wengine lakini mambo yamekuwa tofauti .

Elimu ni muhimu .

Tustaarabike Jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…