Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaTatizo siyo mchungaji, tatizo lipo kwa waumini
Siku hiyo walitoa zaidi maana wameletewa show ya kimataifa toka kaburuni🤣🤣😀Na waumini wapo wanakuja na kutoa sadaka.
Ina mana anaendelea KUA TAJIRI kwa kuwalaghai wapumbavu walio wengi nchini wanaochanganywa na hizi DINI na MANABII.Siku hiyo walitoa zaidi maana wameletewa show ya kimataifa toka kaburuni[emoji1787][emoji1787][emoji3]
Daah!