KabisaTatizo siyo mchungaji, tatizo lipo kwa waumini
Siku hiyo walitoa zaidi maana wameletewa show ya kimataifa toka kaburuni๐คฃ๐คฃ๐Na waumini wapo wanakuja na kutoa sadaka.
Ina mana anaendelea KUA TAJIRI kwa kuwalaghai wapumbavu walio wengi nchini wanaochanganywa na hizi DINI na MANABII.Siku hiyo walitoa zaidi maana wameletewa show ya kimataifa toka kaburuni[emoji1787][emoji1787][emoji3]
Daah!๐ ๐ ๐ Maghayo