Video: Angalia jinsi Rais Paul Kagame anavyowapiga KO wanahabari magharibi kwa majibu ya kibri na kejeli

Video: Angalia jinsi Rais Paul Kagame anavyowapiga KO wanahabari magharibi kwa majibu ya kibri na kejeli

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
12,207
Reaction score
26,521
Moja kwa moja..

Nimecheki hii video nimeamini huyu jamaa ni jeuri sana halafu anajiamini .Ila lafudhi ya kingereza chake hata akisimamishwa na mimi niliyesoma pangu pakavu tia mchuzi mimi nitaonekana nimesoma IST au muingereza kabisa .
 
Moja kwa moja..

Nimecheki hii video nimeamini huyu jamaa ni jeuri sana halafu anajiamini .Ila lafudhi ya kingereza chake hata akisimamishwa na mimi niliyesoma pangu pakavu tia mchuzi mimi nitaonekana nimesoma IST au muingereza kabisa .View attachment 2511372
Lafudhi siyo ila jamaa anakijua tena very fluent.
 
Moja kwa moja..

Nimecheki hii video nimeamini huyu jamaa ni jeuri sana halafu anajiamini .Ila lafudhi ya kingereza chake hata akisimamishwa na mimi niliyesoma pangu pakavu tia mchuzi mimi nitaonekana nimesoma IST au muingereza kabisa .View attachment 2511372
Acha kudanganyika na vimajibu vyake anavyowajibu hao wamagharibi. Hii ni njia anayotumia kuihadaa dunia ili isiamini wala kufikiria kuwa yeye anasapotiwa na nchi za magharibi. Wazungu wanaweza kuonesha chuki dhidi ya nchi au kundi fulani la kihalifu ili kuihadaa dunia iamini kwamba kinachofanyika kinawachukiza watu wengi wekiwepo wazungu wenyewe kumbe nyuma ya pazia wazungu hao hao ndio walioisapoti nchi hiyo au kundi hilo kwa kulipatia silaha nk.

Kama wazungu wangekuwa wako seriously na Kagame basi nchi yake ingekuwa imeshawekewa vikwazo muda mrefu au kuvamiwa na utawala wake kuondolewa kwa nguvu. Ila kwa vile vita vinavyoendelea Congo vinawafaidisha wao kupitia kibaraka wao Kagame hilo swala la vikwazo au kumuondoa haliwezi fanyika.
 
Hii video imenikumbusha Rais wa Azerbaijan kama sikosei alivyokuwa akimpa makavu mwandishi wa BBC alipomuuliza kuhusu utawala wake kukiuka haki za binadamu , uhuru wa habari na demokrasia yeye akalipua bomu nchi yake jinsi ilivyomtreat Assange kila kutoa maoni kinzani kuhusu uingereza na movie ya watu wa magharibi ..
 
Back
Top Bottom