Video: Angalia Mwizi Bonge anavyoiba

Video: Angalia Mwizi Bonge anavyoiba

Kwa hiyo video anaweza kutambulika kwa wanamfahamu?
 
Kama jengo limewekewa mfumo wa camera basi waweke na control room ili kuwe na mtu wa kuangalia vitendo kama hivyo na kuchukua hatua kwa haraka. Sasa kama hapo mtu anaiba na kamera inaonyesha vizuri ila hapakuwa na mtu wa kuangalia hizo video hadi mwizi anapotea. Badala yake mtu akilalamika ameibiwa ndo wanaenda kuangalia kwenye camera.
 
Back
Top Bottom