Video: Askari Polisi Kenya amepoteza viganja baada ya bomu la machozi kumlipukia katika makabiliano dhidi ya waandamanaji

Video: Askari Polisi Kenya amepoteza viganja baada ya bomu la machozi kumlipukia katika makabiliano dhidi ya waandamanaji

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
4,766
Reaction score
16,191
Hili tukio limetokea jana.


NAIROBI, Kenya, Jun 18 – A police officer lost both his fore arms Tuesday during the anti-Finance Bill when a teargas canister exploded on his hands.

Police said the security agent was injured, after he delayed to release the canister while engaging with protestors.

“As a result his two hands were severely injured frommthr wrist losing both fore arms,” read a police report obtained by Capital News.

The injured officer is attached to the the Administration Police, Rapid Deployment Unit(RDU).

According to police, another colleague who was near him sustained minor injuries on her chest.

Both officers were rushed to Nairobi West Hospital, where the first officer was admitted and taken to the theater for emergency surgery.
 
Nimepitia kwenye forums za wakenya nasikia jamaa amepoteza uhai. Sina uhakika lakini
Aisee, itakuwa damu zilivuja sana..
Badala wampatie ambulance, wanamuacha anakwenda kwenye lori la polisi..
 
Walaaniwe waliomtuma, utakuta hayo maandamano yalikuwa ya halali kabisa kikatiba ila kwa utashi wa wakubwa zao wanatuma polisi wakapige mabomu.
 
Back
Top Bottom