VIDEO: Aslay Mungu anakuona

Ana sauti nzur Ila hana mwandishi mzuri....
Anahitaji pia management inayojua figisu na zengwe la mziki wa bongo... Otherwise itamuwia vigum Sana kutoboa...
 
Hivi hizi nyimbo za bongo lazima utaje studio uliorekodia kwenye wimbo? kwani mkataba si kupeana pesa wanakufanyia kazi? mbona nyimbo za bongo sioni hii kitu?
 
Sound the same!! Mpaka ngumu kujua nyimbo yake mpya ni ipi na ya zamani ipi
 
Hivi hizi nyimbo za bongo lazima utaje studio uliorekodia kwenye wimbo? kwani mkataba si kupeana pesa wanakufanyia kazi? mbona nyimbo za bongo sioni hii kitu?
rudia tena kusoma ulichokiandika
 
Huu wimbo nimeuangalia mara mbili mbili ameutendea haki na sauti ameitoa kama inavyotakiwa kama ingekua ni American Got Talent basi ningembonyezea GOLDEN BUZZER. Appreciate you Kijana
Mashairi,ujumbe,melody,swaga,mavazi,location zilezile creativity 0% he need to change kwa kweli....Natamba is the best than this...that's all.
 
Mashairi,ujumbe,melody,swaga,mavazi,location zilezile creativity 0% he need to change kwa kweli....Natamba is the best than this...that's all.
Poti uimbaji unaendana na hisia..dogo ameporwa au ameachwa na mpenzi wake.Wakati anaimba natamba walikuwa wote kwenye kilele cha mapenzi, nyimbo zinazofuata ni malalamiko na kujuta..hebu fuatilia utaniambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…