VIDEO: Aslay Mungu anakuona

Kijana Mungu anazidi kukuona tu, ona mapokezi aliyopata nchi jirani Kenya naona anafuata nyayo za almas
 

Attachments

Tatizo naonaga kama anatoaga manyimbo yanafanana kuanzia mabiti hadi kulalamika... Atoage hata club banger moja
 
Kijana Mungu anazidi kukuona tu, ona mapokezi aliyopata nchi jirani Kenya naona anafuata nyayo za almas
Nilidhani Nairobi... Why wampeleke Kenya kijijini
 
Huu wimbo nimeuangalia mara mbili mbili ameutendea haki na sauti ameitoa kama inavyotakiwa kama ingekua ni American Got Talent basi ningembonyezea GOLDEN BUZZER. Appreciate you Kijana
Sioni kipya, very monotonous!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…