Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Video Assistant Referee (VAR) Ni TV tu inayowekwa uwanjani lakini wanaohukumu wanakuwa hawapo uwanjani na huwezi kuongea nao wewe au kuwaona isipokuwa Referee akipitia kwenye mawasiliano,
mfano VAR ambayo itatumika kwa mkapa leo, mitambo iko UINGEREZA REFA Analetewa picha kwenye TV yake kupitia internet protocol interface
VAR inatumia Camera 33 kati ya hizo ni Camera 8 ambazo zenyewe kazi yake ni kupunguza kasi ya matukio (slow motion) na matukio yaliojificha kama migongano viwiko N.K na Camera 4 zinapunzuza kabisa kasi kwa kiasi kidogo sana na hizi zinashirikiana na Camera mbili za kuona offside kwa kutumia technologia inayoitwa (Hawk-Eye's virtual offside line technology)
ili kumuwezesha refari kukagua matukio kwa usahihi kwa msaada wa jopo la watu watatu wanahusika kurudisha matukio kwenye VAR. VAR IPO UINGEREZA kwenye kituo kinachoitwa Stockley Park, west London ambacho kina control matukio yote ya mpira ambayo inachezwa chini ya VAR.
VAR imetengenezwa na SHIRIKA LA MPIRA LA Royal Netherlands Football Association (KNVB).
VAR zinakadiriwa kwa msimu' mmoja zinalipiwa kiasi cha Dollar MILLION sita na MILLION miambili 6.2M
Tangu VAR ianze imesha chunguza matukio 2400 na matukio 109 tu ndio yalikataliwa kuwa sio sahihi.
Mwisho kabisa Referee ndie mtoamaamzi wa mwisho kwenye maamzi yake hata kama VAR imeamua kuwa kosa, yeye anaweza akakataa. Lakini atahukumiwa na umma kwakuwa kila mtu anaona tukio kwenye runinga yake ndio maana wako makini sana. Kutoka kituo cha utafiti cha
#VAR