VIDEO: AT adai hatafuti kiki kwa Ali Kiba

VIDEO: AT adai hatafuti kiki kwa Ali Kiba

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Msanii wa muziki miondoko ya mduara nchini, AT amefunguka kwa kuwachana wasanii wa Tanzania kwa kudai wengi wao ni waongo, hawapendi kusema ukweli juu ya mambo yao yanayowasibu.

AT ameeleza kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya kuonekana kama anatafuta kiki ya wimbo wake mpya uitwao 'Melody' kwa kuzungumzia ugomvi wa kipindi kirefu baina ya msanii Alikiba na Diamond Platnumz

Mtazame hapa anavyofunguka zaidi.

 
Mwenzie Mzee Yussuf sasa yupo msikitini tu, sasa sijui yeye anasubiri nini!
 
Back
Top Bottom