njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Hii ya leo imezidi hadi watangazaji wa azam wenyewe wameikataa hadi Dulla Mbabe anaona aibu anakazania kapiga ngumi nne mtangazaji anauliza hata ngumi umepigwa kweli?Azam kwenye ndondi wanatuibia tu
Nenda chama cha ngumi jiandikishe kama promota tafuta bondia kwa mfano mfaume mfaume vs wa nje so nenda kwa mfano malawi katafute msukuma mkokoteni njoo azam waambie una pambano, bOOOM PROMO YA KUTOSHA unavuta mkwanja wako ukiwa mjanja na sponsors unawaokota piaJamani nipeni connection na mimi nikavute kilaini hela ya Azam
Bonge la business idea.nenda chama cha ngumi jiandikishe kama promota tafuta bondia kwa mfano mfaume mfaume vs wa nje so nenda kwa mfano malawi katafute msukuma mkokoteni njoo azam waambie una pambano,bOOOM PROMO YA KUTOSHA unavuta mkwanja wako ukiwa mjanja na sponsors unawaokota pia
Nakubaliana na wewe kabisa.Naona mnaongea kwa hisia lakini hamjui mchezo wa ngumi
Ndio tabia za Wakenya kufanya utapeli au wizi. Kimsingi yule Mkenya hakuwa tayari kupigana. Alipohojiwa akawa anasema kuanzia asubuhi mwili wake haukuwa vizuri.Kwanza hongereni sana kwa kuleta revolution ya tv hapa bongo. Soka mmefanikiwa, bongo movies pia naona mnakomaa na ndondi pia mmeamua kutuletea.
Ila dah ndugu zangu kilichotokea Dodoma kwa Dulla Mbabe ni uhuni. Ni kama vile mnashirikiana na matapeli kuokota walevi mnawaleta hapa waje wapigane wachukue hela tu!
Yaani mwezi mzima mna-hype pambano bila hata kuangalia backgrounds za hao wapiganaji. Kweli Mwakinyo alikuwa sahihi alivyosema kuna watu wanapigana na walevi toka nje ya nchi.
Hebu angalia knockout ya Dullah Mbabe, ngumi ya bega moja tu mkenya chali keshachukua hela yake.
Jamaa kaja Bongo kavuta mkwanja safii saa hizi anatucheeekaaaNdio tabia za Wakenya kufanya utapeli au wizi. Kimsingi yule Mkenya hakuwa tayari kupigana. Alipohojiwa akawa anasema kuanzia asubuhi mwili wake haukuwa vizuri.