Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 28, 2024 #41 Handover... Inapendeza... Cc: Mahondaw
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Jul 28, 2024 #42 Somoche said: Mkoti Mkubwa balaa Lakini sisi hatujali mavazi yake waovaa kiobama wakina marope si ndio hao wanaiba na madili kila uchao?? Tuombe Mungu asiwe mpiga dili kama yule mzanzibari mwingine ambae anatuibia sana wizara flani nyeti. Click to expand... ..kuna mtu aliwahi kaniambia kwamba, Waziri wa mambo ya nje, mavazi yake yanagharamiwa na serikali. Hivyo naamini hii itakuwa mara ya mwisho kumuona huyu bwana amevalia rough namna hiyo.
Somoche said: Mkoti Mkubwa balaa Lakini sisi hatujali mavazi yake waovaa kiobama wakina marope si ndio hao wanaiba na madili kila uchao?? Tuombe Mungu asiwe mpiga dili kama yule mzanzibari mwingine ambae anatuibia sana wizara flani nyeti. Click to expand... ..kuna mtu aliwahi kaniambia kwamba, Waziri wa mambo ya nje, mavazi yake yanagharamiwa na serikali. Hivyo naamini hii itakuwa mara ya mwisho kumuona huyu bwana amevalia rough namna hiyo.
Mwande na Mndewa JF-Expert Member Joined Feb 26, 2021 Posts 1,117 Reaction score 3,153 Jul 28, 2024 #43 Ogopa technolojia Attachments VID-20240728-WA0701.mp4 6.9 MB
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 5,651 Reaction score 6,966 Jul 28, 2024 #44 GENTAMYCINE said: Mkiambiwa Dogo ana Dharau sana na hafai msiwe mnabisha. Click to expand... Labda wanapanga come back ya nguvu.
GENTAMYCINE said: Mkiambiwa Dogo ana Dharau sana na hafai msiwe mnabisha. Click to expand... Labda wanapanga come back ya nguvu.