Video: Baada ya Snura kupata misukosuko na chura, sasa aja na shindu

OGTV

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Posts
353
Reaction score
167
BASATA wamfanye nini snura?. Wampe masharti gani snura?. kitu shindu lina shindua shindu hilo!.
 
Kuna kitu wasanii wanakitafuta. Ukimkataza na hili anaibuka na kituko kingine kabisa. Na hapa jamii inalazimishwa ikiongozwa na BASATA Ikikubaliane na kile wasanii wanachokitaka. Hii ni ligi ambayo mshindi hajulikani, ila tutafika.
 
hhhaaahhhaaa!shindu shinduaaa!!!
amezaliwa kwenye ndimu
amekulia kwenye malimao!

shindu shinduaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
 
huyu Snura kwa kweli huo uchaga kasingiziwa...si kwa vimbwanga hiviii hahaa
 
analaumu TANESCO wakati UMEME hana!!shindu shinduaaaaaass
 
Mbona haina baya tena katumia fasihi..,labda tu subiri video tuone itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…