Pre GE2025 Video: Baba Levo amsisitiza Vunja bei aache uoga akagombee ubunge 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM msanii maarufu Baba Levo akiwa na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Fred Vunjabei Babalevo amemtaka mfanyabiashara huyo kuacha uoga kutaka kugombea kiti cha ubunge katika uchaguzi wa mwaka 2025.

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Akili kubwa haoo wenu πŸ˜„

Ova
 
Akigombea Ubunge, lazima ROI ya biashara yake itashuka; na Ubunge hauwezi kumlipa kama inavyomlipa biashara yake
Kama ni kwa ajili ya kutafuta umaarufu wa kisiasa sawa ila bisahara yake inalipa zaidi kuliko Ubunge
 
Wanataka wakamlie hela zake tu, haina haja ya kujitia mastress yasiyo maana huko siasani, akomae na Bussness zake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…