Video : BAVICHA yatetemesha Morogoro

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Acheni tu siasa ziendelee kupigwa marufuku , maana zikiruhusiwa visukari vya watu vitapanda mara dufu .

Hapa ni mkoani Morogoro kwenye Kikao cha ndani cha BAVICHA, ambayo imebainika sasa kuwa ndio Taasisi ya vijana inayoongoza barani Africa.
Your browser is not able to display this video.
 
Sipati picha uwanja wa siasa ukiwa sawa, CCM na mbinu zao za kijima hawatapata muda kujibu hoja,akili mukichwa, hamasisheni vijana wajiandikishe kwa wingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAVICHA hawa hawa wadeki lami, walamba viatu na wazungusha mikono ndio wawe taasisi ya vijana inayoongoza afrika?
 
Hawa jamaa watapewa kesi ya uhujumu uchumi usirushe clip hio wakaiona
 
Sehemu gani mkuu,ili niende maana nipo Moro mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…