Video: Bavicha yatikisa Mbeya, Kauli Takatifu ya NEVER AND NEVER AGAIN yatawala

kati ya vitu vya kijinga walivyovifanya Twaha na mwenzake, ni kuanza kutamba baada ya Mwaifunga kutoka, wakati kuna wengine wapo ndani. hii itawafanya wengine waendelee kubaki ndani.ninaamini inaweza kutokea hivyo. walitakiwa waende kwa hekima, ajabu yake vijana wa chadema hawanaga hekima, wamejaa ulimbukeni.
 
Kutoka kwa Mwaifunga hakukutokana na hisani , ametoka kisheria , unataka tumbembeleze nani ?
 
unaongea hivyo kwasababu haupo ndani, ungekuwa ndani na unapitia ile hali ungetamani wote watoke. kwani wale ambao hawajatoka kwanini hawajatoka kama ni kutoka kwa sheria? hujui unachoongea.
 
Back
Top Bottom