Video: Benchi la ufundi Singida Black Stars kalala chini baada ya kupigwa

Video: Benchi la ufundi Singida Black Stars kalala chini baada ya kupigwa

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Ni baada ya kipindi cha kwanza kuisha kulizuka mzozo kwenye lango la kwenda vyumba vya mapumziko, baada ya varagati hilo alionekana moja ya makocha wa Singida Black Stars akiwa amelala chini.

1730319108963.png
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums-1769471325.jpeg
 
Gamondi piga kima hao. Kwani kwenye logo ya Yanga hawaoni mpiga vitasa. Yani sisi tupo vizuri kila idara
 
Gamondi piga kima hao. Kwani kwenye logo ya Yanga hawaoni mpiga vitasa. Yani sisi tupo vizuri kila idara
Kwenye logo pia naona mdada anacheza kama sio rede basi netiboli. Kwa hiyo mpo vizuri hadi kwenye hiyo michezo.
 
Kwenye logo pia naona mdada anacheza kama sio rede basi netiboli. Kwa hiyo mpo vizuri hadi kwenye hiyo michezo.
Tuna timu ya wakina dada. Wapo vizuri kwenye Netboli unaruhusiwa kujiunga kolo.
 
Back
Top Bottom