The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Wanajukwaa hiki kijembe cha Kigaila moja kwa moja kinamlenga Msigwa, anasema kamwe usifikirie kwa kutumia tumbo, maana njaa ikishahamia kichwani ni shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa namba mbili wa mzee Mbowe katika ubora wake.Wanajukwaa hiki kijembe cha Kigaila moja kwa moja kinamlenga Msigwa, anasema kamwe usifikirie kwa kutumia tumbo, maana njaa ikishahamia kichwani ni shida.
View attachment 3151837
msigwa hana njaa njaa ipo kwenu chadema mnahangaika sana hela mnapata wapi sasa ccm hela za kumwaga mwaamwaamwaaWanajukwaa hiki kijembe cha Kigaila moja kwa moja kinamlenga Msigwa, anasema kamwe usifikirie kwa kutumia tumbo, maana njaa ikishahamia kichwani ni shida.
View attachment 3151837
Chawa namba mbili wa mzee Mbowe katika ubora wake.