MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hii poa sasa, tunafaa kuona watoto wao wakihusika sio kuwatumia maskini Wakenya ilhali wanao wapo wanatazama kwenye runinga zao.
Haya Kalonzo, Mudavadi na Wetangula na wao waachie watoto wao waingie barabarani pia.
Kazi kwako bwana Chiloba, maandamano yote haya wanakusema wewe, kwamba ukiachia na kushuka basi vurugu zote hizi zinaisha. Haya twende!! NASA tibim..... hehehe hadi raha, inanikumbusha mbali sana hii shughuli, nilipokea kibano cha polisi miaka ile, mabomu ya machozi lakini pakachimbika tu kwa kwenda mbele hadi rais Moi akaishia kukubali yaishe.