Kama Umeshashuhudia Video Ya Wimbo Wa Sorry Ya Barnaba Utakubaliana Na Mimi Kuwa Ni Video Bora Kwa Sasa Hapa Tz Hata Kama Unachuki Na Barnaba Kwa Hili Utakubali
Mimi nadhani ni miongoni mwa video nzuri. Na ninasema hivi kwa sababu haina tofauti kubwa sana na video nyinginezo za muziki,hususani za mapenzi.
Ila kwangu mimi,wimbo wake ni moja ya nyimbo ninazozipenda sana.
Natamani ningepata 'acoustic version' ya wimbo ule.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.