Mimi nadhani ni miongoni mwa video nzuri. Na ninasema hivi kwa sababu haina tofauti kubwa sana na video nyinginezo za muziki,hususani za mapenzi.
Ila kwangu mimi,wimbo wake ni moja ya nyimbo ninazozipenda sana.
Natamani ningepata 'acoustic version' ya wimbo ule.