Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
Kwa watu wa mikoani tulitegemea kuona kiwango cha kuridhisha kutoka kwa jembe letu, kwa jinsi kondoo alivyokuwa amenona hakika ile ni poor performance!!
Kama Baba Askofu ana video nyingine namshauri aitume kusahihisha makosa ya kiufundi aliyoonesha!!
 
Kaniudhi san huyu mzee ameaibisha kanisa,familia yake,wauminin wake sijui alikuwa ana waza nini KANIBOA Sana.
Mkuu niko nasoma comment za watu naomba unifuatilie kuna kitu nitaelezea baadaye,usiamini kila unacho ona,kunatechnologia ya ku edit video na picha sasa watanzania wengi hawajui nitaelezea,hata wewe nikipata picha yako naweza kukufanya ukawa utupu na mengine mengi kwa haraka walio wengi wataamini mpaka picha ifanyiwe uchunguzi ndiyo utajua ukweli.Usiwe mwepesi kukubali mi si mshirika wa Gwajima lakini niko nafuatilia hili jambo ili niujue ukweli.
 
Pmbvu sina muda na mambo ya kipmbvu kama haya ya kushabikia upumbavu .haswa kwenye msiba mkubwa wa kitaifa kama huu wa mzee wangu Mengi.
Sasa kama huna muda na mambo ya kipumbavu anayofanya gwajima umefata nini hapa si uende ukalale huko msibani utuachie siye wenye muda tumwangalie baba askofu nabii anavyomtafuna kondoo wake?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…