Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
Hivi huyu Gwajima bado tu hawajamuweka lock up tu kama Makonda alivyoelekeza kwa Ambaruti au wale Shilawadu.. Kweli Wasukuma awamu yao hii
 
Kwa hiyo hao wanao hisiwa kumteka mdude ndio wameongeza dhambi ya pili kumchafua mtumishi wa Mungu? Naiona picha nami, na kiongozi wa genge hilo amekuwa na uzoefu wa kuchafua watu. Ndio professional yake. Ona pale msibani Leo, kawachafua wachaga eti no vigumu kumuona mchaga anamchangia mlemavu au mwenye shida. Hivi alifanya utafiti lini kama sio kuchafua watu tuu? Pili kamchafua Kubenea eti akalipe deni LA mzee Mengi! Katumwa kukusanya madeni?
Huyu ndio kikosi chake kimemteka Mdude mchana peupe kama kilivyo mshambulia Lissu. Wamuogope nani wakati wako kwenye mbekeko ya mwenyenyumba?
 
Yani kwa Gwajiboy wala hakuhitaji uwe photography analyst. Ni yeye kabisaaaaa. Amechemsha ajirekebishe. Wengine pia tujifunze. Sio ujanja kujirecord kwenye mambo hayo. Fedheha tu. Na yeye kwa hadhi yake ya huko kanisani ndio kabisaaa kajifedhehesha
Ndugu kuna maelezo kuna mtu ametoa umeyasoma na je video ya uchafu umeiona?Mimi sijaiona,kuna sehemu anasema yule mnaume aliinua mkono kukinga kamera ilipokuwa inamchukua usoni akahoji kama ni Gwajina mbona alijiachia sana kwenye video ya kwanza aliyokuwa kifua wazi na kama alijirekodi mwenyewe kwa nini kwenye hiyo nyingine akinge mkono.Mkuu wewe video ile chafu umeiona au uliona ya kifua wazi kisha picha ukajua ni yeye?
Mkuu mimi sijakataa kama sura inaonyesha ni yeye tafuta kuna post yangu nimeweka picha za kiongozi wa Irani zilileta kashifa lakini wataalamu walithibitisha si za kweli.Dunia imebadilika mkuu hata mimi nikipata picha yako naweza nikakufanya chochote na kwa sababu sura ni yako watu wataamini na kumbuka asilimia kubwa ya watu hawayajui haya mambo,kujisafisha ni gharama.Please note ninachotaka ni tufuatilie ukweli tusifanye mambo kwa hisia mkuu technologia ikitumiwa vibaya ni hatari.
Mfano:Unakubaliana na mimi kuna watu wanauwezo wa kuiga sauti za watu?Kama unakubali kuna watu wanauwezo wa kuiga suati za watu kama zilivo,ikitembea voice record wanaongea mambo ya ajabu si pia utasema ni yeye kabisa?See the big picture,mkuu kuna wanafunzi wangu miaka ya nyuma nilikuwa nawaambia siwezi kuwafundisha jinsi ya kufikiria.
Learn to see through the eyes of other people.
 
Yawezekana hiyo ni namna mojawapo ya mchungaji wa kiume kumpatia mwamini wa kike baraka hasa katika ndoa yake hasa ya kupata watoto.
Pia yaweza kuwa ni sehemu ya mafunzo kwa vitendo yanayolenga kudumisha ndoa au kuendea kufunga ndoa.
kwa kweli maana dada sio kwa kutulia kule kama maiti itakuwa alikuwa anapokea upako[emoji1]
 
Mkuu mie huwa singii huko,zaidi huko ni majungu tu kama wanavyo
 
Mkuu mie huwa singii huko,zaidi huko ni majungu tu kama wanavyo mjadili.
 
Hii ni scandal ya tatu kumhusu gwajima na mahusiano
 
Ukitaka kuishi kwa amani kuhusu dini fuata mafundisho ya Karl Marx
Mkuu mafundisho ya karl Max ni ya dini ipi kwani kuna dini nyingi hapa duniani,funguka kidogo kwa nini unasema mafundisho ya Karl Max?Nilimsoma muda Lenini na Karl Max.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…