Ni aibu aisee hata kusema unaenda kusali kanisani kwake
Kwahiyo unadhani imetengenezwa?? Dahwalioitengeneza hiyo movie, wamenifanya nimjue zaidi gwajima tofauti na hapo mwanzo!
Labda Wana mgwayaMwisho wa siku kanisa kimya,raia kimya na serikali kimya
Ila wangekuwa kina Amber rutty serikali ingefuatilia kwa umakini mno...hii ndiyo serikali ya wanyonge
Duuh aisee.... nirushie chemba hizo clips nyingineNi kuwa Gwajima ana influence kubwa katika jimbo la Kawe, waumini wake wengi ni wakazi wa jimbo hilo. Mgombea ubunge wa jimbo hilo akiwa na support ya Gwajima ana nafasi kubwa ya kuwa mshindi. Halima Mdee kila mwaka huwa ana support ya askofu na hela za kampeni huwa anapewa.
Kuna binadamu analitaka hili jimbo, ameamua ku black mail Gwajima. Zile clip za video ziko 3, hiyo ya pili na ya tatu ni mbaya zaidi. Gwajima ameambiwa asipotoa ushirikiano kwa huyu binadamu na CCM kutwaa ubunge zile mbili zitaachiwa.
Walimtega kwa mtoto mzuri, kumbe wanajua weakness yake ni kupenda kula kondoo walionona.
Alivyomjinga kaonyesha sura yake tuNi kuwa Gwajima ana influence kubwa katika jimbo la Kawe, waumini wake wengi ni wakazi wa jimbo hilo. Mgombea ubunge wa jimbo hilo akiwa na support ya Gwajima ana nafasi kubwa ya kuwa mshindi. Halima Mdee kila mwaka huwa ana support ya askofu na hela za kampeni huwa anapewa.
Kuna binadamu analitaka hili jimbo, ameamua ku black mail Gwajima. Zile clip za video ziko 3, hiyo ya pili na ya tatu ni mbaya zaidi. Gwajima ameambiwa asipotoa ushirikiano kwa huyu binadamu na CCM kutwaa ubunge zile mbili zitaachiwa.
Walimtega kwa mtoto mzuri, kumbe wanajua weakness yake ni kupenda kula kondoo walionona.
Kakobe kaamua kumtetea tapeli mwenzake wa kidiniDuuh aisee.... nirushie chemba hizo clips nyingine
Yule dada alimuambia itakuwa kumbukumbu yake kumbe askofu alipoenda kuoga dada alijifowadia.Alivyomjinga kaonyesha sura yake tu
Ni kuwa Gwajima ana influence kubwa katika jimbo la Kawe, waumini wake wengi ni wakazi wa jimbo hilo. Mgombea ubunge wa jimbo hilo akiwa na support ya Gwajima ana nafasi kubwa ya kuwa mshindi. Halima Mdee kila mwaka huwa ana support ya askofu na hela za kampeni huwa anapewa.
Kuna binadamu analitaka hili jimbo, ameamua ku black mail Gwajima. Zile clip za video ziko 3, hiyo ya pili na ya tatu ni mbaya zaidi. Gwajima ameambiwa asipotoa ushirikiano kwa huyu binadamu na CCM kutwaa ubunge zile mbili zitaachiwa.
Mkuu, hebu fanya nizipate zote.
Mi hata moja sijaiona
Walimtega kwa mtoto mzuri, kumbe wanajua weakness yake ni kupenda kula kondoo walionona.