figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kwani TAKUKURU Bado wapo?TAKUKURU, pokeeni kazi hii. Mshindi wa kura za udiwani Kata ya Kivule ndungu Rajabu Shabani Manyinya akitoa rushwa waziwazi siku moja kabla ya uchanguzi kufanyika.
Kata ya Kivule ipo Jimbo jipya la Kivule Jijini Dar es Salaam.
Nategemea kupoka majibu sahihi kutoka kwenuo
Hii rushwa yeye alisema [machungwa] alikuwa anayaatoa kwa wajumbe siku moja kabla ya uchaguzi uliofanyiaja tarehe 4/8/2025
View attachment 3432002
View attachment 3432003
View attachment 3432005
Kwamba itakuaje? Mimi sina Urafiki na Watoa Rushwa. Hata unifanye mwenyekiti wa Kamati ya Harusi. Ukitoa Rushwa nakichoma tu.Kazi ya hatari hiyo ulofanya, ila ni njema.
Shika adabu yako. Mimi sio Nzi wa Kijani.Mmezidiana kete,mnapigana sasa
Mungu awabariki kwenye rushwa?TAKUKURU, pokeeni kazi hii. Mshindi wa kura za udiwani Kata ya Kivule ndungu Rajabu Shabani Manyinya akitoa rushwa waziwazi siku moja kabla ya uchanguzi kufanyika.
Kata ya Kivule ipo Jimbo jipya la Kivule Jijini Dar es Salaam.
Nategemea kupoka majibu sahihi kutoka kwenuo
Hii rushwa yeye alisema [machungwa] alikuwa anayaatoa kwa wajumbe siku moja kabla ya uchaguzi uliofanyiaja tarehe 4/8/2025
Uzuri majina kajitaja mwenyewe na kazi zake.. Hamtatumia nguvu kumpata.. Kwenye Video kuna Viongozi wa CCM wa Kivule wanaonekana. Watawasaidia
View attachment 3432002
View attachment 3432003
View attachment 3432005
Mkuu subiri ukutane hata kwa kubambikwa ndio utajua hujui!!!Kwani TAKUKURU Bado wapo?
Afu ukiwahonga wanakuachia ndo raha ya nchi hiiMkuu subiri ukutane hata kwa kubambikwa ndio utajua hujui!!!
Hamna loloteMkuu subiri ukutane hata kwa kubambikwa ndio utajua hujui!!!