figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
-
- #21
Sema Mjinga. Ndugu yake anaumwa yupo Muhimbili. Anatuma mtu apeleke Uji na Mtori.. Hela anaenda kuwagawia wajumbe🤣🤣🤣 badala ya kusaidia bills za HospitaliHuyo atakamatwa km CCM kuu hawamtaki, ila kama wanamtaka, hakamatwi kamwe.
Nongwa ya Rushwa au Nongwa ya CCM kuhadaa wananchi ifikapo Uchaguzi?Nongwa
Wala Machungwa tunawajua🤣🤣🤣Hamna lolote
Na kwa hatakuwa na wajibu wa kuwasaidia kwa sababu alishatanguliza malipo.Halafu mtegemee akiingia serikalini awasaidie wananchi, lazima ajilipe pesa zake walizokula kipindi cha uchaguzi..!!
Hii nchi ina laana
TAKUKURU, pokeeni kazi hii. Mshindi wa kura za udiwani Kata ya Kivule ndungu Rajabu Shabani Manyinya akitoa rushwa waziwazi siku moja kabla ya uchanguzi kufanyika.
Kata ya Kivule ipo Jimbo jipya la Kivule Jijini Dar es Salaam.
Nategemea kupoka majibu sahihi kutoka kwenuo
Hii rushwa yeye alisema [machungwa] alikuwa anayaatoa kwa wajumbe siku moja kabla ya uchaguzi uliofanyiaja tarehe 4/8/2025
Uzuri majina kajitaja mwenyewe na kazi zake.. Hamtatumia nguvu kumpata.. Kwenye Video kuna Viongozi wa CCM wa Kivule wanaonekana. Watawasaidia
View attachment 3432002
View attachment 3432003
View attachment 3432005
Kabisaa hana deni wakae kwa kutulia hapo mpaka miaka 5 iishe..!!Na kwa hatakuwa na wajibu wa kuwasaidia kwa sababu alishatanguliza malipo.
Rushwa ilipewa jina la Takrima wakati wa Kikwete.TAKUKURU, pokeeni kazi hii. Mshindi wa kura za udiwani Kata ya Kivule ndungu Rajabu Shabani Manyinya akitoa rushwa waziwazi siku moja kabla ya uchanguzi kufanyika.
Kata ya Kivule ipo Jimbo jipya la Kivule Jijini Dar es Salaam.
Nategemea kupoka majibu sahihi kutoka kwenuo
Hii rushwa yeye alisema [machungwa] alikuwa anayaatoa kwa wajumbe siku moja kabla ya uchaguzi uliofanyiaja tarehe 4/8/2025
Uzuri majina kajitaja mwenyewe na kazi zake.. Hamtatumia nguvu kumpata.. Kwenye Video kuna Viongozi wa CCM wa Kivule wanaonekana. Watawasaidia
View attachment 3432002
View attachment 3432003
View attachment 3432005
Ni sheedarudiwani? watazirudishaje?