VIDEO: David Kafulila kuunguruma Machi 16 kwenye kipindi cha DK 45 ITV, Sikiliza hiki kionjo

YAY

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
879
Reaction score
873
Huenda huu ukawa ndio mjadala mkali zaidi wa kiserikali tangu kuanza Kwa Mwaka mpya wa 2026.
===
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila atazungumza na Watanzania kupitia Kipindi maarufu Cha runinga Cha ITV kinachorushwa kila siku ya jumatatu kuanzia saa 3 Usiku.
 

Attachments

  • VID-20260315-WA0259.mp4
    6.6 MB
Vitu vya kijinga kuvileta humu ni upumbafu badala ya kufocus CRISPR-cas9 technology,unafocus na ujinga wa walafi wa madaraka
Kafulila hajawahi kuzungumza ujinga hata mara moja uliza utaambiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…