Video: DC Kasesela na mbunge Msigwa walivyokuwa na wakati mgumu

Video: DC Kasesela na mbunge Msigwa walivyokuwa na wakati mgumu

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Kuna msemo wa waswahili kuwa mafahari wawili kamwe hawakai zizi moja.

Hiyo ilijionyesha Iringa kati ya DC Kasesela na Mbunge mchungaji Msigwa.

Leo hii Kasesera tayari amesha hamisha kila kilicho chake na kurudi kwao iwambi Mbeya na kumuacha Mch. Msigwa akifahidi ulanzi wake mjini Iringa.

 
Dunia duara Tena unazinguka kwa kasi sana leo Jpm hayupo looh🙄🙄🙄
 
Haahaa.. basi hapo Meko alikuwa amefurahi sana kuwa Chadema kimeshauwawa kumbe hakujua yeye ndio anaondoka.
 
Wale wote wlaiosaidia ushindi ule Sasa wanaopata taabu, wengine wamepumzishwa wengine wamehamishwa.

Sabaya awe funzo la namna Bora ya kutimiza mamlaka unayopewa na so vinginevyo
 
Yaani walisimama juu ya ma VX ya jamhuri na kuanza kuzozana!!!!?

Sasa waendelee kuzozania hukoo.
 
Huko Iringa,

Alinunua madiwani wakahamia CCM.

2020 wananchi wakawapiga chini madiwani wote waliounga juhudi.

Kasesera alikuwa na chuki za chinichini sana
 
Kwa hiyo Kasesera anatakiwa aiache ile Vieite au ni moja kati ya stahiki zake?
 
Back
Top Bottom