Wewe nishakujibu mkuu.mimi siamini asee.Hahaha ndo ukweli huo. Kama unapinga kamjibu Deontay Wilder au kama unaona mbali nijibu mimi nilichouliza.
Dah,,,Mike mimi nimetokea kumkubali sana.Hahaha
Kwamba Mike alipewa wazee na wenye records za kupoteza mapambano!!!Sasa mkuu mtu unayemkubali ni kama wewe uchukue panga butu kisha ukate mgomba. Of course utaona panga lako kali.
Mi naona ni charity event tu ambayo inataka kutuongezea ubishi. Kuna page moja inasema Tyson Fury kapelekewa ofa ya kuzipanga na Mike na amekubaliMimi ngoja niende nje ya mada kidogo.
Hivi suala la Mike Tyson na Evander kuonyesha dalili zote za kurudi ulingoni mnalizungumziaje?
Wakina Foreman aliowakimbiaNgoja kwanza juzi juzi tu hapa nimetoka kumcheki Mike akiwatwanga watu Espn walionesha mapambano mengi nikakumbuka mbali. Kwanini asiombe azichape na mzee Tyson na yeye ajipatue umaarufu?
Hall of fame wa wakati huo walikuwa akina nani?