ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
hawawezi kuifungia kwa kuwa server zao haziko nchiniSijui kwanini TCRA isifungie Uchafu unaoitwa instagram?
Mbona Asia haipo kule Korea kwa kiduku?hawawezi kuifungia kwa kuwa server zao haziko nchini
ni utaratibu wa nchi hapa hatuwezi dhibiti mitandao ya kigeni,kuna mikataba mbalimbali tume sign kimataifa ikiwemo uhuru wa habarMbona Asia haipo kule Korea kwa kiduku?
Sikuhizi afya hazidhoofiki kuna ARV’sKiuhalisia maisha ya mziki yanahitaji nidham ya hali ya juu sana pia Diamond hii system anayoenda nayo sitoshangaa siku akilalamika afya kuzoofika sababu ya umeme, [emoji848] think
King kiba,at,mwana fa na professor joy wamfundishe au aige kile kizuri kinachotoka kwao kuhusu nidhamu na heshima binafsiDiamond ni superstar ila ana matatizo flani kama vile
Lack of discpline
Poor decision making
Na
Lack of self respect.
Bila kucheki hayo hata fika mbali, ajirekebishe