Video: Diamond ajirekodi video akiwa na Hamisa pamoja na Mzungu anayesemekana ni mpenzi wake mpya

Ukiachilia mbali ushamba wake kwenye ishu za mahusiano,

Kwenye naamini ametumika kuondoa michakato inayoendelea sasa ya maandamano ikiwa ni pamoja na kuizima kabisa ishu ya Nandy
NATAMANI KUAMINI MAWAZO YAKO MKUU
 
Kufika mbali atafika tu maana when it comes to getting his shit together and putting in work and creativity yupo serious. Entertaining himself and having fun ni sehemu ndogo ya maisha yake tu.
well said mkuu
 
Mie nahisi hii ni kiki ya kumuokoa Nandi na skendo ya guchupi.Hawa wamezoea kusemwa hawajali ilakale katoto hadi huruma.
hahaha mkuu sizani kama diamond ana huruma kiasi hiki
 
Ana mameneja wa3 wanene kwelihuyu jamaa sijui wanamshauri nini.
 
Hivi kuna mwanaume ambaye hatamani kubadilisha toto nzuri au tunamlaumu mond kwa kuwa tumekosa fursa kama hizo?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…