mkulungu mkuyengo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2015
- 786
- 564
hao wanawake wanajidhalilisha wenyewe.na aache upumbavu wa kudhalilisha wanawake
Zari ameshatoa yakeya moyoni, anashangaa mameneja kuruhusu hii clip to the publicSo hawa mademu zake, Hamisa na huyo mzungu, wamekubali kushare dushelele huku wanajuana kabisa sio?
Huyu Dayamondi ni mshamba sana, angejua thamani ya brand yake na image anayojijengea kwa huu upuuzi angeacha mara moja.
Unamkomesha vp Zari mama wa watoto wako!
Diamond ni superstar ila ana matatizo flani kama vile
Lack of discpline
Poor decision making
Na
Lack of self respect.
Bila kucheki hayo hata fika mbali, ajirekebishe
Kasemaje mkuu?Zari ameshatoa yakeya moyoni, anashangaa mameneja kuruhusu hii clip to the public
Ameshangaa mameneja kuruhusu huu uchafu urushwe kwenye kadamnasi na kuwa mbwiga hata watoto wake wameanza kumsahau hajawaona muda sasaKasemaje mkuu?
We can’t have big minds all of us in this world, we small minded are the best consumers of big minded productsSmall mind discuss people....
Ameshangaa mameneja kuruhusu huu uchafu urushwe kwenye kadamnasi na kuwa mbwiga hata watoto wake wameanza kumsahau hajawaona muda sasa
Yani serikali ifunge mitandao ya kijamii kwa sababu ya kenge kama hawa wanaolusha picha zao za utupu, hilo haliwezekani hii mitandao imesaidia maelfu ya watanzania kuinua vibiashara vyao kwa kuvitangaza na kuibua mambo mengi ya msingi leo unashauri ifugwe kisa kinge mmoma au wawili wameweka mapicha yao ya utupu..sikuungi mkono kwa hilo.Kwa Mara ya kwanza nahisi kuna haja sasa ya serikali kufungia mitandao ya kijamii aina ya Instagram, Snapchat na badoo. Pia ustawi wa jamii imuangalie kwa jicho la tatu huyu diamond. Ni mzalilishaji sana kwa wanawake na mwisho nahisi kama ni trick to 26/04. Ingekua nchi za watu wenye elimu ,nadhani kwenye show zake angejaza akina mobeto na sepetu tu.he needs to be counselled unless anatumika ili kuharibu tension za marching hiyo tarehe
Washauri wenyewe wakina babu tale????Huyu kijana Hana Washauri? Na Kama Wapo wanamshauri nini? Mwanaume kamili hawezi shindana na mwanamke, diamond Amekosa Kifua kabisa shame!! Ila akumbuke kuna Kesho pia na aache upumbavu wa kudhalilisha wanawake, enternet never forgets
Aahhhh....kumbe kamshirikisha kwenye video yake! Wabongo kwa umbeaaaaAcha basi na wewe kutufanya wajinga,kwa kua kamshirikisha kwenye video yake ndio mwanamke wake?,aliyekutuma kwambie huku sio fb
Kweli kabisaDiamond ni superstar ila ana matatizo flani kama vile
Lack of discpline
Poor decision making
Na
Lack of self respect.
Bila kucheki hayo hata fika mbali, ajirekebishe