VIDEO: Dkt. Doroth Gwajima aupiga mwingi Wasafi FM leo, amfunika Kitenge

Sihami Tanzania nishasema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu waziri ni 'mahoka'.

Kama vile dishi limeyumba.
 
Duh! Wanasiasa wa Tanzania aina hii pasua kichwa.
 
Mnaotukana huyo waziri kosa lake nini?au mnataka aishi kikauzu tu.
Kuwa waziri au Rais sio tiketi ya kushindwa kujamiiana (socialize)
 
huyu mama ataishi maisha marefu kwasababu haumizi akili, ana furaha muda wote. safi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…