Pre GE2025 VIDEO: Dkt. Slaa ndani ya Kizimba cha Mahakama Kuu, akikabiliwa na kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni

Pre GE2025 VIDEO: Dkt. Slaa ndani ya Kizimba cha Mahakama Kuu, akikabiliwa na kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Dkt. Willbroad Slaa tayari amefikishwa kwenye chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza maombi yake aliyowasilisha Mahakamani hapo.
Anatetewa na wakili gani Msomi
 
Ana laana gani mzee muongo na mzandiki sijawah kuona
Wanasema tusameheame ni kweli ila alichowafanyia CDM 2015 huyu mzee si cha kawaida, yaani alitaka chama kife tena kifo cha mende.

Unashiriki kumleta Lowassa katika chama, ghafla unasema CDM imeleta choo sebureni ndani hapakaliki - aisee!! Afu unasepa wiki moja kabla ya uchaguzi Mkuu, unaitisha press ya kusiliba kabisa.
 
Leo timu ya mabadiliko wanamtaka.. dah
 
Inakuwaje Taarifa ya hapa JF iwe kama ya Instagram? Yaani hakuna content ya kueleweka. Tunawekewa clip tu basi. Hatuelezwi mwenendo mzima wa kufikishwa kwake hapo Mahakamani, kwamba nini kimejiri na uamuzi ni upi. JF naamini mambo kama haya mnaweza kurekebisha.

Halafu siku hizi naona watu wanatukana hadi matusi ya nguoni na wanaachwa tu. Hii si hadhi tuliyoizoea ya JF.
 
Akiwa anaingia gerezani wamsindikize na teke.

Kwa hiyo na yeye huwa anasaula halafu anachuchumaa kukaguliwa, exhaust pipe inatazama ardhi na kengele zinapepea
 
Back
Top Bottom