Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Ana laana gani mzee muongo na mzandiki sijawah kuonaLaana yake imeondoka na Mwamba 😂
Anakimbizana umri na Wasira, watu hawana huruma kwa kweliKwa umri wake huyu ni wa kumuachia tu.
Anatetewa na wakili gani MsomiDkt. Willbroad Slaa tayari amefikishwa kwenye chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza maombi yake aliyowasilisha Mahakamani hapo.
Wanasema tusameheame ni kweli ila alichowafanyia CDM 2015 huyu mzee si cha kawaida, yaani alitaka chama kife tena kifo cha mende.Ana laana gani mzee muongo na mzandiki sijawah kuona
Leo timu ya mabadiliko wanamtaka.. dahWanasema tusameheame ni kweli ila alichowafanyia CDM 2015 huyu mzee si cha kawaida, yaani alitaka chama kife tena kifo cha mende.
Unashiriki kumleta Lowassa katika chama, ghafla unasema CDM imeleta choo sebureni ndani hapakaliki - aisee!! Afu unasepa wiki moja kabla ya uchaguzi Mkuu, unaitisha press ya kusiliba kabisa.
Upo sahihi kabisa. Anatia hurumaKwa umri wake huyu ni wa kumuachia tu.